kiswahili

 

 

Mahubiri

 

sikiliza soma
Mambo

Malaika mamilioni, maserafi na malaika wakuu Mikaeli na Gabrieli watafika mbele ya kiti cha enzi cha Yesu. Watapiga magoti na kusema: YESU KRISTO NI BWANA!

Halafu watu wote watakuja kuinama mbele za Yesu. Huko watakuwepo Hitler, Yaser Arafat, Saddam Hussein, Stalin, Idi Amin na wewe na mimi. Wote watapiga magoti mbele ya Yesu na kupaza sauti: YESU KRISTO NI BWANA!

Halafu Shetani pamoja na malaika zake na mashetani wote watapiga magoti mbele ya Yesu kupaza sauti: YESU KRISTO NI BWANA!

Mambo
Mambo
Ujumbe wa Ufunuo – sura ya 2

1-7  Ujumbe kwa Efeso

8-11  Ujumbe kwa Smirna

12-17  Ujumbe kwa Pergamo

18-29  Ujumbe kwa Thiatira

Ujumbe wa Ufunuo – sura ya 2
Ujumbe wa Ufunuo – sura ya 2

Zaburi ya wachungaji

 

Zaburi 23

Sisi ni wachungaji ndani ya kanisa la Mungu.

Yesu ni Mchungaji Mkuu nasi ni wasaidizi wake.

Mshahara unatusubiri tutakapofika mbinguni.

Kama tunatumikia kanisa vizuri tutapata mshahara mkubwa.

Lakini tukitumikia vibaya tunaweza ku­baki bila ya mshahara.

Zaburi ya wachungaji
Zaburi ya wachungaji
Pepo wa udhaifu  

”Na tazama, palikuwa na mwanamke aliyekuwa na pepo wa udhaifu muda wa miaka kumi na minane, naye amepindana, hawezi kujinyosha kabisa.” (Lk 13:11)

Huyu mama alikuwa ameinama, haku­weza kunyosha mgongo.

Tulisoma kwamba alikuwa na roho ya udhaifu, yaani pepo ya udhaifu.

Hii ni roho ya aina gani?

Pepo wa udhaifu  
Pepo wa udhaifu
Ujumbe wa Ufunuo sura ya 1

Ujumbe wa Ufunuo

Dibaji

Bila ya Kitabu cha Ufunuo hatungejua ubaya ulioko du­niani.

Bila ya Kitabu cha Ufunuo hatungeelewa vita, uhalifu na mateso makali ya wanadamu.

Bila ya Kitabu cha Ufunuo hatungejua mwisho wa dhambi na shetani.

Bila ya Kita­bu cha Ufunuo ha­tu­ngeelewa mipango ya Mungu.

Ufunuo sura ya 1.  

1-3  Ufunuo aliopewa Yohana

4-8  Salamu kwa makanisa saba

9-20  Njozi ya Mwana wa Mtu

Ufunuo sura ya 1
Ufunuo sura ya 1

Roho Mtakatifu Kipindi cha 1.

Roho Mtakatifu

Kipindi cha 1.

Dibaji

Siku hizi tunaishi katika kipindi cha Roho Mtakatifu .

Kabla ya kipindi hiki kilikuwa kipindi cha Yesu .

Kabla ya kipindi cha Yesu kili­kuwa kipindi cha Mungu Baba.

Kilikuwa sawasawa wakati wa Agano la Kale.

Katika vipindi vyote utatu wa Mungu umeshirikiana kazini.

Roho Mtakatifu alifika duniani

Roho Mtakatifu

Sikukuu ya Pentekoste

Kanisa

Nilihubiri Tarime Magena (dakika 51)

Nilifundisha Iringa semina

(dakika 27)

Nilihubiri Finland

(dakika 27)

Roho Mtakatifu Kipindi cha 1.
       

 

Kävijälaskuri